Muargentina Lionel Messi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao yote dakika za 24 na 55 kwa penalti katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Celtic.
Uwanja wa Celtic Park mjini Glasgow, Scotland katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya. Barca imesonga mbele pamoja na Manchester City
Uwanja wa Celtic Park mjini Glasgow, Scotland katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya. Barca imesonga mbele pamoja na Manchester City
No comments:
Post a Comment